Rais Magufuli hakutegemea jambo hili kutokea “ushindi mkubwa”
Baada ya Benki ya Dunia leo kuiweka Tanzania rasmi katika orodha ya nchi za uchumi wa Kipato cha Kati, ikiwa ni ni miaka mitano kabla ya lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 Rais Magufuli amewapongeza Watanzania kwa hatua hiyo.
“Benki ya Dunia leo tarehe Julai 1, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati, nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya, huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020” JPM
@COPYRIGHT- Millard Ayo
Comments
Post a Comment